Seeking for a girlfriend/fiance to be my wife

Seeking for a girlfriend/fiance to be my wife

DSpecial

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
482
Reaction score
160
Kijana wa kitanzania umri wangu ni 27yrs, najitokeza jamvi hili kwa mara nyingine tena kutafuta girlfriend/mchumba ambae tunaweza kuwa Mke na Mume kama Mungu akipenda inshallah. Ila naomba awe Muslim, mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kujiheshimu. Nipo Dar es Salaam kwa sasa ila ni mzaliwa wa Tanga.

Kama unavigezo vya kuwa mke bora unaweza kunitumia email kupitia salimathuman78@yahoo.com au Private Message(PM), then Mobil Number na mambo mengine yatafuata baada ya kujuana vizuri..
 
What exactly are you looking? Are you looking for a wife? a girlfriend? or a fiance? be specific please
 
What exactly are you looking? Are you looking for a wife? a girlfriend? or a fiance? be specific please

Katika maisha ya mwanadamu uhusiano wowote ule wa kimapenzi baina ya watu wawili wapendanao huanzia katika urafiki, then from there it goes widely. Na vilevile nikijaribu kufafanua vizuri uhusiano baina ya watu wawili yaani Msichana na Mvulana ambao wamependana basi na wenyewe huanzia kwenye urafiki kwanza, then wakiridhiana unafuata uchumba and finaly the last point ni kupewa baraka zote na wazazi wa pande zote mbili na hatimaye kuhalalishwa kuwa mke na mume.

From here then let's come to the point brother, ok sasa hapa nina maana gani.....namaanisha
nahitaji girlfriend kwanza, tukisomana tabia vizuri na kila mtu akiridhika na mwanzie then tunaingia kwenye uchumba, sidhani kama nitakuwa nakosea ila kwa ninavyofahamu mimi uchumba ni kipindi kifupi sana, na maranyingi watu mkishakuwa wachumba basi tayari mke na mume watarajiwa kinachosubiriwa hapo ni ndoa tu. Sasa point yangu ya mwisho hapo baada ya urafiki na uchumba ni ndoa.

Nimefurahishwa sana na swali lako mkuu, ila hapo nadhani umenipata brother.
 
mmepotea nyie

Mkuu siwezi kukupinga maana wengine sio wazoefu katika anga hizi, inawezekana labda kweli tumepotea siwezi kufahamu. Lakini sisi kama binadamu tumetofautiana na wanyama kwa kupewa akili na uwezo wa kufikiri mabaya na mazuri, nadhani itakuwa vizuri kama unamuona binadamu mwenzio anapotea basi ni kheri umsaidie kwa kumuelekeza njia iliyo sahihi ya kutatua jambo lake, sasa kama unaona nakosea mkuu basi sio vibaya ukanielekeza njia iliyo sahihi mkuu ili nisipotee.
 
whom one will be my wife?

yaani ma broda naomba nifunguke, kidogo huwa napenda sana comments zako hasa huu MMU na nilijua u mume wa mtu seriously.

ila nakuombea tu Mungu akupe mke wa kufanana na wewe, najua uko kama ambavyo huwa unaongea hapa jamvini. na najua una utash mkubwa sana hasa kwenye maisha ya kijamii.

nimalizie kwa kusema isingekuwa kipengele cha dini hapo kina kinzana basi ningekuunganisha na mdogo wangu wallah tena kwa jinsi ninavyokupenda.
 
yaani ma broda naomba nifunguke, kidogo huwa napenda sana comments zako hasa huu MMU na nilijua u mume wa mtu seriously.

ila nakuombea tu Mungu akupe mke wa kufanana na wewe, najua uko kama ambavyo huwa unaongea hapa jamvini. na najua una utash mkubwa sana hasa kwenye maisha ya kijamii.

nimalizie kwa kusema isingekuwa kipengele cha dini hapo kina kinzana basi ningekuunganisha na mdogo wangu wallah tena kwa jinsi ninavyokupenda.

Dah!!...maskini mimi nadhani hiyo bahati sio riziki yangu, ila asante sana dada yangu, japokuwa naface wakati mgumu sana katika hili, ila no way out, sina jinsi kwakweli na lazima niwe mkweli katika hili. Bila shaka nadhani hata wewe unafahamu dada angu umuhimu wa swala la imani katika mambo ya ndoa. Siongei haya kwa kumaanisha ubaguzi labda, no hapana sina maana hiyo. Kama ningekuwa labda natafuta tu a normal girlfriend au mpenzi tu wakawaida kama baadhi yetu wanavyofanya humu labda hicho kipengele cha imani kisingekuwa muhimu sana, lakini kwakuwa natafuta mwenza wa maisha ambaye tutapendana kwa dhati nadhani swala la imani lina nafasi kubwa sana katika hili.

Usione hivi dada yangu gfsonwin, hata mimi nimetokea kwenye familia ambayo wazazi ni wa imani tofauti na nime experience mambo mengi sana mpaka umri huu niliofika and that's why nipo makini sana katika swala la imani. Simaanishi ni familia yenye matatizo labda, hapana na ninawapenda sana na ninawaheshimu sana wazazi wangu na ndugu zangu maana bila wao labda nisingekuwa hapa nilipofika. Ni challenge tu za hapa na pale ambazo naziona ndizo zimenifanya niwe makini katika hili.

Ila kiukweli nashukuru sana dada yangu kwa moyo wako wa imani na upendo uliouonesha juu yangu.

I have nothing more to say here, but let's me say thanks again and I appreciate your kindness that you have shown to me.
 
Back
Top Bottom