What exactly are you looking? Are you looking for a wife? a girlfriend? or a fiance? be specific please
mmepotea nyie
Nadhani muhusika ndio angefaa kujua kuwa nafanya kazi gani
whom one will be my wife?
Kwa nini hujaniambia ilhali na mimi natafuta mke?
yaani ma broda naomba nifunguke, kidogo huwa napenda sana comments zako hasa huu MMU na nilijua u mume wa mtu seriously.
ila nakuombea tu Mungu akupe mke wa kufanana na wewe, najua uko kama ambavyo huwa unaongea hapa jamvini. na najua una utash mkubwa sana hasa kwenye maisha ya kijamii.
nimalizie kwa kusema isingekuwa kipengele cha dini hapo kina kinzana basi ningekuunganisha na mdogo wangu wallah tena kwa jinsi ninavyokupenda.