Seeking investor

Seeking investor

likat

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
40
Reaction score
32
Nina refinery ndogo ambayo ina uwezo kufanya refining mafuta ya kupikia kama alizeti, soya, mawese nk na kuyaboresha zaidi katika viwango vilivyoidhinishwa na TBS.

Nipo Mbeya na mwekezaji itakuwa vizuri naye akiwepo Mbeya. Refining ina uwezo wa kuzalisha lita 2000 kwa siku au tani 1.7 au ndoo 100 za lita 20/ mapipa 10 ya mafuta.

20240906_163401.jpg
 
View attachment 3088914
Nije na shilingi ngapi alafu nitanufaika vipi?
 
okay, uwekezaji unaotakiwa ni wa tsh 10,000,000. ( milioni kumi)
Huu uwekezaji unahitajika kama operating capital.
Uwekezaji huu unalenga katika kupata malighafi kama mafuta ya mawesa, Materials muhimu( breaching earth) katika utengenezaji wa aya mafuta, p kutumia refinery machine , packiging vessels( vifungashio vya kupack mafuta) kama madumu ya lita 1, lita 5 ndoo za lita 10 na lita 20.
Mwekezaji utanufaiki kwa faida itayopatikana baada ya kutengeneza na kuuza haya mafuta. Mwekezaji utaingia kama shareholder katika hii biashara . Tutakaa na kujadiliana equity shareholding yako iwe % ? Terms ziweje, muda wa uwekezaji ? Muda wa equity shareholding ?
Pia mwekezaji utaingia katika management position ya biashara katika nafasi ambayo tutapendekeza na utairidhia.
 
Aje

na kiasi gani? Na atanufaikaje?
All the best
 
Kama nitaweza kupata e mail yako au whatsapp number ninaweza ku share pitch deck
Sawa japo shida ni kuwa siwezi kuweka namba yangu hapa lakini pia ,ninaomba kama unaweza karibu katika private message yangu andika namba yako kama ndiyo salamu au kichwa Cha maongezi yetu ili niweze kuwasiliana na wewe kwamaana Mimi kutuma meseji private meseji nashindwa ndugu .

Karibu Sana rafiki
 
Back
Top Bottom