Aje
okay, uwekezaji unaotakiwa ni wa tsh 10,000,000. ( milioni kumi)
Huu uwekezaji unahitajika kama operating capital.
Uwekezaji huu unalenga katika kupata malighafi kama mafuta ya mawesa, Materials muhimu( breaching earth) katika utengenezaji wa aya mafuta, p kutumia refinery machine , packiging vessels( vifungashio vya kupack mafuta) kama madumu ya lita 1, lita 5 ndoo za lita 10 na lita 20.
Mwekezaji utanufaiki kwa faida itayopatikana baada ya kutengeneza na kuuza haya mafuta. Mwekezaji utaingia kama shareholder katika hii biashara . Tutakaa na kujadiliana equity shareholding yako iwe % ? Terms ziweje, muda wa uwekezaji ? Muda wa equity shareholding ?
Pia mwekezaji utaingia katika management position ya biashara katika nafasi ambayo tutapendekeza na utairidhia.
na kiasi gani? Na atanufaikaje?
All the best