KHERI AMANI
Member
- Feb 1, 2021
- 6
- 5
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu
Nina umri wa miaka 30
Dini muislamu
Muajiriwa serikalini!
Nina mtoto 1
Makazi mbeya
Sifa za mwanamke ninaye muhitaji
Umri miaka 23-32
Awe muislamu
Elimu kuanzia form six kuendelea.
Rangi yoyote ile
Kama ni single mother basi uwe na mtoto mmoja tu.
Kama hauna mtoto basi ni vizuri pia..
Aliye interested ani pm
Nina umri wa miaka 30
Dini muislamu
Muajiriwa serikalini!
Nina mtoto 1
Makazi mbeya
Sifa za mwanamke ninaye muhitaji
Umri miaka 23-32
Awe muislamu
Elimu kuanzia form six kuendelea.
Rangi yoyote ile
Kama ni single mother basi uwe na mtoto mmoja tu.
Kama hauna mtoto basi ni vizuri pia..
Aliye interested ani pm