Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusiwe wapumbavu kiasi hiki. Hakuna sehemu yoyote ile ndani ya taifa hili inayofaa kukosa umeme na sehemu zingine zipate umeme.1. Hospitali
2. Kambi za jeshi
3. Vituo vya polisi
4. Magereza
5. Public installation
Haya gombea utatueTusiwe wapumbavu kiasi hiki. Hakuna sehemu yoyote ile ndani ya taifa hili inayofaa kukosa umeme na sehemu zingine zipate umeme.
watanzania, tusikubali kupelekwa pelekwa tu na wahuni wachache waliokalia madaraka kwa manufaa yao wenyewe.
Kwanini tukubali mgao wa umeme wakati kila siku tunawasikia hao wahuni wakisema eti, tunao umeme wa kutosha mpaka kuuza nje ya nchi.
Sasa kama umeme upo mpaka wa kuuza kwa majirani zetu, kwanini kuwe na mgao?????????