Sehemu ambazo hazipaswi kuwa na mgao wa umeme

1. Hospitali
2. Kambi za jeshi
3. Vituo vya polisi
4. Magereza
5. Public installation
Tusiwe wapumbavu kiasi hiki. Hakuna sehemu yoyote ile ndani ya taifa hili inayofaa kukosa umeme na sehemu zingine zipate umeme.

watanzania, tusikubali kupelekwa pelekwa tu na wahuni wachache waliokalia madaraka kwa manufaa yao wenyewe.

Kwanini tukubali mgao wa umeme wakati kila siku tunawasikia hao wahuni wakisema eti, tunao umeme wa kutosha mpaka kuuza nje ya nchi.

Sasa kama umeme upo mpaka wa kuuza kwa majirani zetu, kwanini kuwe na mgao?????????
 
Guest house, imagine hili joto na unataka piga show daaah
 
Haya gombea utatue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…