LGE2024 Sehemu anazopita Lissu hapigii kampeni wagombea serikali za mitaa, anajipigia kampeni yeye mwenyewe, baadhi ya sehemu hawamtaki, wanataka Mbowe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
 
Sasa si ndiyo ufurahi? Mbona badala ya kufurahia wewe unaumia na unakuwa unawashwawashwa?
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Kuna ubaya gani kujipigia kampeni?

Bi chura kaweka mabango nchi nzima....
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Sawa.
Ungesema hapa kwamba.
Umehudhuria mikutano mingapi ambayo lisu amefanya kaampen
Umeongea na watu wangapi kupata maoni yao.
Hao watu uliwapataje?
Umri wao na elimu zao
Political affiliations zao?
Lengo la kufanya hivyo lilikuwa nini?
Je umehidhuria mkutano wowote wa mbowe au mnyika ? Uliuliza maswali niliyouliza hapo juu?
 
chadema wanakosa umakini sana ata ukisikiliza nyimbo zao za kampeni unajua hawa wamepoteza fahamu kiujumla
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Hivi mkiandika uzushi huwa mnalipwa bei gani chiembe
Hivi bado hamjajua tu kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo?
 
2020 nasikia mlikuwa mnalipwa buku 7 hivi wameshawaongeza kweli ?

Na jinsi shilingi ilivyoporomoka si mtakuwa na hali tete .
 
Mimi chadema, pale Nyamongo tumechanga karibu milioni 50 ili atupigie debe, kaishia kujipigia debe yeye mwenyewe
Nchi hii haitaendelea kwasababu ya ujinga wa wananchi wake. Kama wewe. Unayeshinda humu kumsifia maushungi na unayetaka watu wasi comment chochote labda kusifia nyuzi zako ili zisijae. Ati leo upo nyamongo.
Mnafiki mkubwa kabisa wewe. Unafikiri ukieneza chuki zidi ya lisu ndo watu hawataenda kwenye mikutano yake?
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Akitoa historia yaliomkuta kampeni pekee kwa chama chake, maana watz wanajua kama tabu ya maji washadanganywa sana tu lkn hali ndio hio hio
 
Bora hata Lisu, lkn mke wa Hafidhi hampigii kampeni mtu yeyote. Umemuona kaenda mtaa wowote?

Hata watu walipo poromokewa na ghorofa mke wa Hafidhi alipanda ndege na kwenda zake ng'ambo.
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Bado unaamini hizi ramli chonganishi zina wafuasi siku hizi?
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.

CCM linapokuwa semaji la wagombea wa chama hasimu
 
Back
Top Bottom