Sasa si ndiyo ufurahi? Mbona badala ya kufurahia wewe unaumia na unakuwa unawashwawashwa?Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Kuna ubaya gani kujipigia kampeni?Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Sawa.Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Hivi mkiandika uzushi huwa mnalipwa bei gani chiembeSehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Nchi hii haitaendelea kwasababu ya ujinga wa wananchi wake. Kama wewe. Unayeshinda humu kumsifia maushungi na unayetaka watu wasi comment chochote labda kusifia nyuzi zako ili zisijae. Ati leo upo nyamongo.Mimi chadema, pale Nyamongo tumechanga karibu milioni 50 ili atupigie debe, kaishia kujipigia debe yeye mwenyewe
Akitoa historia yaliomkuta kampeni pekee kwa chama chake, maana watz wanajua kama tabu ya maji washadanganywa sana tu lkn hali ndio hio hioSehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Bado unaamini hizi ramli chonganishi zina wafuasi siku hizi?Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Basi tuliza kishundu hicho maana huna jipya.Mimi sipigi ramli chonganishi
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.