KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
"Nikiwa mzazi ninayetaka kuwekeza kwa ajili ya mustakabali bora wa mtoto wangu, ninavutiwa na fursa mbili za uwekezaji kwa watoto, yaani Watoto Fund - UTT AMIS na Junior Jumbo CRDB.
Kwa kuzingatia malengo yangu ya uwekezaji, muda wa uwekezaji, faida na hasara za uwekezaji, nataka kupata ushauri kuhusu ni chaguo gani bora kati ya hizi mbili."
Kwa kuzingatia malengo yangu ya uwekezaji, muda wa uwekezaji, faida na hasara za uwekezaji, nataka kupata ushauri kuhusu ni chaguo gani bora kati ya hizi mbili."