Malengo unayajua wewe halafu unatuuliza sisi tena? Au Una stress za u-single mother?"Nikiwa mzazi ninayetaka kuwekeza kwa ajili ya mustakabali bora wa mtoto wangu, ninavutiwa na fursa mbili za uwekezaji kwa watoto, yaani Watoto Fund - UTT AMIS na Junior Jumbo CRDB. Kwa kuzingatia malengo yangu ya uwekezaji, muda wa uwekezaji, faida na hasara za uwekezaji, nataka kupata ushauri kuhusu ni chaguo gani bora kati ya hizi mbili."
Hv akili zako zipo matakoni au kichwaniMalengo unayajua wewe halafu unatuuliza sisi tena? Au Una stress za u-single mother?
Kama wewe una hekima mbona umemwaga matusi mazito namna hiyo?!Hv akili zako zipo matakoni au kichwani
Umeelewa nilichouliza hapo
Kama jambo huwezi kuelewa na kujibu kwa hekima bora ukae kimya kuliko kuonesha ni jinsi gani ulivyo tahira
Elezea vzuri mkuuCrdb ujipange Kwa mawili pesa kuikuta au kupata maumivu maana Kuna michezo ya kutoa pesa kwenye account za watu mm nimepigwa nikakomba Hela zote nikawaacha na account yao
UTT AMIS"Nikiwa mzazi ninayetaka kuwekeza kwa ajili ya mustakabali bora wa mtoto wangu, ninavutiwa na fursa mbili za uwekezaji kwa watoto, yaani Watoto Fund - UTT AMIS na Junior Jumbo CRDB.
Kwa kuzingatia malengo yangu ya uwekezaji, muda wa uwekezaji, faida na hasara za uwekezaji, nataka kupata ushauri kuhusu ni chaguo gani bora kati ya hizi mbili."
Wacha namie nichukue madini hapa 🙇