Simple tu! Watafute kwenye page zao kupia insta au mitandao ya kijamii kwa ujumla then angalia Bei zao walukie hewani muelewane...au nenda na iyo barabara ya Uhuru karibu na mtaa wa Livingston na Uhuru angalia kulia kuna moja la duka lao nenda kaseme nao ingawa kwa Bei iyo sidhani
Kwa Kariakoo maduka wanayo mengi lingine lipo hapo kwenye mataa ya Uhuru na msimbazi angalia jengo la Samsung kwenye lile bango kubwaa kushoto kwako nenda kabahatishe bahati yako.