R rechungura1 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 387 Reaction score 129 Jun 10, 2015 #1 Habari za kazi wakuu! Nahitaji sehemu ya kuwa nafanyia mambo yangu ambayo ina mazingira ya library, mwenye kufahamu hizo sehemu kwa Dar es Salaam anifahamishe. Natanguliza shukrani!
Habari za kazi wakuu! Nahitaji sehemu ya kuwa nafanyia mambo yangu ambayo ina mazingira ya library, mwenye kufahamu hizo sehemu kwa Dar es Salaam anifahamishe. Natanguliza shukrani!