Sehemu gani kwa mbeya inayolipa kwa biashara ya chakula

onedayyes

Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
13
Reaction score
16
Za leo wa ndugu,mimi ni msichana wa miaka 23 ni mwanafunzi wa chuo(must) nipo mbeya,,Nimebahatika kupata mtaji wa milioni moja,,nimewaza biashara gani ya kufanya nikaamua kufanya biashara ya chakula,,sasa tatizo linakuja sijui ni mahala gani pazuri pa kufungua mgahawa wa chakula na chipsi
Kwa wakazi wa mbeya naomba mnishauri,,au kama unawazo tofauti na la kufungua mgahawa kwa mtaji wangu huo naomba pia mnishauri.
Asanteni
 
Kwani sehemu gani watu hawali mkuu?? Kila sehemu wanakula, cha muhimu angalia
1.POPULATION

2. QUALITY ya chakula chako (maintain good quality)

3. CLEANLINESS.
 
Nane nane ingawa watu wa mbeya wana wivu sn kwa wageni
 
Uza hata maeneo ya must..wanachuo wanapenda sana chips
 
Jaribu kutafuta fremu maeneo ya Forest ya Zamani karibu na Chuo za Mzumbe nadhani utapata vichwa vingi kikubwa uwe na Bei nzuri eneo hili linapakana na Vyuo Vingi kwaiyo jaribu kutafuta Fremu maeneo hayo utapata wateja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…