Sehemu gani Mbeya naweza kujenga nyumba kwa Sh mil .5

Sehemu gani Mbeya naweza kujenga nyumba kwa Sh mil .5

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,203
Wadau naomba ushauri. Wapi jijini Mbeya naweza kujenga nyumba ya kuishi binadamu kwa ggharama isiyozidi mil.5. kwa kuanzia nina mil. 1. Nikipata na shamba itakuwa vyema zaidi. Nataka ya matofali ya kichoma.
 
Kwa hela hiyo utajenga boma kupaua itakubidi uongezee
 
Kiwanja utapata Inyala au Igawilo kule juu kabisa
 
Hiyo 5mil ni bora uje Boda huku

Unanunua sehemu ya kufyatulia tofali kwa sh30.00/=

Unaajili watu wa kufyatua tofali kila tofali moja sh15 coz maji hapo hapo
Chukulia umefyatua matofauli elfu 40
40000×15=600,000/=

Kuni cha kuchomea tanuli 200.000 na usafiri elfu60 jumla 260.000/=

Kupanga tanuli na kuchapia na kuchoma matofauli tukadiria 200.000/=

Ukimaliza unakuja kuuza tofauli zako kwa Bei ya tsh(70-85)

Tofali 40.000×70=2,800.000/=

Umekosa nini kama una muda wa kusimamia na ukachoma matanuli hata matatu kwa mpigo

Kujenga sio sifa muda mwingine ni uoga tuu
 
NAWEZA KUPATA KIWANJA MAENEO YA ILOMBA PLS NA NI BEI GANI AU NIPATE SHAMBA MAENEO HAYO YA ILOMBA
 
Back
Top Bottom