Hiyo 5mil ni bora uje Boda huku
Unanunua sehemu ya kufyatulia tofali kwa sh30.00/=
Unaajili watu wa kufyatua tofali kila tofali moja sh15 coz maji hapo hapo
Chukulia umefyatua matofauli elfu 40
40000×15=600,000/=
Kuni cha kuchomea tanuli 200.000 na usafiri elfu60 jumla 260.000/=
Kupanga tanuli na kuchapia na kuchoma matofauli tukadiria 200.000/=
Ukimaliza unakuja kuuza tofauli zako kwa Bei ya tsh(70-85)
Tofali 40.000×70=2,800.000/=
Umekosa nini kama una muda wa kusimamia na ukachoma matanuli hata matatu kwa mpigo
Kujenga sio sifa muda mwingine ni uoga tuu