Sehemu gani nzuri na tulivu kwa kazi yangu..

Sehemu gani nzuri na tulivu kwa kazi yangu..

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Bandugu,
Nina ka-assignment kidogo cha binafsi kuandika, nahitaji sehemu ya kwenda kufanyia hiyo kazi lakini pia iwe ni kama 'vacation' kwangu.
Sifa zake angalau ziwe:
  1. Malazi yasizidi elfu 50 kwa siku
  2. Kuwe na Wifi
  3. Kuwe na vivutio karibu ambavyo jioni naweza tembelea kwa ajili ya ku-recharge..vivutio kama beach, mto, zoo, shopping centres etc
  4. Mitandao ya simu iwe inashika kwa uhakika hasa Tigo na Airtel
  5. Isiwe Dar es salaam au Mkoa wa Pwani
Any idea?
Ahsanteni
 
Karibu sana Mwanza, kuna hosteli mbalimbali zinazomilikiwa na kanisa katoliki, wapo masister
 
Back
Top Bottom