Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy Chato?

Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy Chato?

Iammoshyn

Senior Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
157
Reaction score
224
Habari wakuu

Nimeingia chato jioni ya leo,Mie mgeni kidogo nitakuwa huku kwa siku mbili Tatu.

Wenyeji wa chato waliomo humu, sehemu gani nzuri Za kujidai na kuenjoy au beach gani nzuri.
 
Wenyeji wa chato waliomo humu,sehemu gani nzuri Za kujidai na kuenjoy au beach gani nzuri.
Hakuna kiwanja chochote kizuri, Chato ni Kijiji cha uvuvi,labda bar za kawaida na pale J's Motel ni ya mwendazake,hata hivyo hakuna lolote.
 
Nyumbani kwa aliyekwenda zake...
Habari wakuu

Nimeingia chato jioni ya leo,Mie mgeni kidogo nitakuwa huku kwa siku mbili Tatu.

Wenyeji wa chato waliomo humu, sehemu gani nzuri Za kujidai na kuenjoy au beach gani nzuri.
 
Habari wakuu

Nimeingia chato jioni ya leo,Mie mgeni kidogo nitakuwa huku kwa siku mbili Tatu.

Wenyeji wa chato waliomo humu, sehemu gani nzuri Za kujidai na kuenjoy au beach gani nzuri.
nenda Kaburi Motel, hapo panavutia sana
 
Back
Top Bottom