Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy Chato?

Habari wakuu

Nimeingia chato jioni ya leo,Mie mgeni kidogo nitakuwa huku kwa siku mbili Tatu.

Wenyeji wa chato waliomo humu, sehemu gani nzuri Za kujidai na kuenjoy au beach gani nzuri.
Kama uko chato kweli tupia kapicha umelalia Jiwe
 
Habari wakuu

Nimeingia chato jioni ya leo,Mie mgeni kidogo nitakuwa huku kwa siku mbili Tatu.

Wenyeji wa chato waliomo humu, sehemu gani nzuri Za kujidai na kuenjoy au beach gani nzuri.
Nenda pale kwenye kaburi lake utamwona meko yuko anavuta shisha
 
Habari wakuu

Nimeingia chato jioni ya leo,Mie mgeni kidogo nitakuwa huku kwa siku mbili Tatu.

Wenyeji wa chato waliomo humu, sehemu gani nzuri Za kujidai na kuenjoy au beach gani nzuri.
Umeenda na ndege? Nataka kujua kama uwanja unatumika ama la
 
Kutokana ja maoni ya Wadau leo Nimepata Bahati ya kuja chato beach resort.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…