masikini tajiri
Member
- Jul 10, 2019
- 18
- 7
Wakubwa Mimi nipo Mwanza nataka kuhamia Morogoro sasa nina biashara yangu hapa ya Vitenge ambayo anasimamia mke wangu.
Naombeni kwa wale wenyeji wa mji ni Morogoro sehemu gani naweza kupata sehemu nzuri ya biashara yangu hii
Naombeni kwa wale wenyeji wa mji ni Morogoro sehemu gani naweza kupata sehemu nzuri ya biashara yangu hii