Sehemu gani wanatoa funds kwa watu wenye good business idea?

Sehemu gani wanatoa funds kwa watu wenye good business idea?

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
129
Hi JF members,
Naomba mnijuze sehemu ambayo naweza kupeleka business idea yangu na nkapata funds.......
Sehemu hiyo naomba iwe tofauti na benki kwa sababu sina mali ya kuchukulia mkopo. I have a lot of project in software industry but nashindwa kunyanyuka kwa sababu ya finance .

Ntashukuru endapo ombi langu litakubaliwa
 
Tigo App challenge km inahusiana na jamii.
Au nenda DTBi pale Tume ya sayansi wacheki watukusaidiaje.
 
Back
Top Bottom