Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Kuishi kijijini - ukikaa kijijini kufanikiwa maisha kiasi cha kummiliki mali ni ngumu Sana hii ni kwasababu zifuatazo.
-Uzinzi
-Pombe
-Ukosefu wa maarifa.
-Kukaa na watu wenye mawazo duni
-fixed mindset and conservative.
Kijijini ndo sehemu ambayo unakuta mtu anayeitwa tajiri ni mchafu Sana ila anamiliki mifugo mingi Ila analala sehemu chafu.
Kijijini ukiwa Mwalimu wewe unaitwa tajiri hivyo waalimu wengi ambao wako vijijini wamedumaa kimawazo , kiakili na kuamini wamefanikiwa maana maazingira yamewatoa mchezoni.
Ngono - vijijini watu hufanya Sana ngono hivyo hii inapelekea watu kuzaliana sana na mwisho Kuwa na watu wengi wasio na tija.
Elimu -kijijini elimu sio kipaumbele
Mfanikio -kijijini mafanikio sio kipaumbele pia.
Pia USWAHILINI
Sehemu nyingine ukiishi kutoboa ni ngumu ni uswahilini .
Uswahilini jamii kubwa inaamini ushirikina kitu ambacho watu wanaacha kuwa responsible na maisha yao.
Umalaya - ngono zembe ambayo imepelekea kuwa na idadi ya single mother kila nyumba.
Bangi - hii imepelekea kuwa na idadi kubwa ya vijana wasio na maono.
Pombe - hii imepelekea vifo kwa vijana na kuua afya zao (sungura)
Hivyo kijijini na uswahilini ili uishi maeneo haya na ufanikiwe lazima ujitenge na jamii na uwe focused na MAISHA yako
Kijijini na uswahilini ni sehemu ambazo zinafaa kuwekeza na sio kuishi au kulelea familia yako.