Sehemu hatari kwa mumeo/ mpenzio (kuna machangudoa)

Sehemu hatari kwa mumeo/ mpenzio (kuna machangudoa)

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Usiruhusu mumeo aende mwenyewe usiku mitaa ya Kona Bar, (Afrika Sana, Kijitonyama DSM), Morogoro Store Oyserbay, Meeda Club Sinza, Buguruni, Temeke Uhayani, Magomeni, tena huku ni hatari zaidi, kuna makaka poa pia (mashoga).
Hebu naomba tuoredheshe maeneo mengine yanayoweza kumtia mwanamume majaribuni, akajikuta anakisahau kitumbua cha mkewe kwenye kidole cha pete ya ndoa. Si mnajua machangu wakuulizi "umeoa?"
De_Wallen.JPG
 
Asee wale machangu wa Meeda wachafu bana daaah.

machangu wa wapi ndio wasafi nikaimarishe ulinzi zaidi huko? Mashosti na watu wangu wa jirani nisha wadhibiti
 
na ukiona mwanaume anachukua changu wala sio wa kuongea naye.
Sema na Mungu wako tu ashughulike naye.
cheating, i can live with it hasa kama mwanamke ni mzuri na behaved kuliko mie.
Changudoa? Hiyo ni zereyu.
 
Shoga ntavumilia, mdogo wangu napiga chini fasta.

hausi gelo nafukuza naleta hausi boy handsome.

Kikulacho ki nguoni mwako. Mashoga zako, wadogo zako na housegirl wako ndio wanafaidi mbyopyo ya mumeo.
 
Wa Garden Bistro

Changu, changu ni changu, wa Garden Bistro, wa uwanja wa fisi, wote ni wezi, wote hawana mapenzi ya kweli, wote ni malaya, wote wanajiuza, wote wanakesha kwa ajili ya mtarimbo na wote ni hatari kwa mumeo
 
Hivi kuna mwanaume anayenunua huduma za changu akitegemea mapenzi ya ukweli?
 
Hivi kuna mwanaume anayenunua huduma za changu akitegemea mapenzi ya ukweli?

kule ni mwendo wa chapa ilale, ila kuna watu wanadatishwa na mbunye za machangu na wanakuwa wateja wa kudumu na kutelekeza familia
 
kule ni mwendo wa chapa ilale, ila kuna watu wanadatishwa na mbunye za machangu na wanakuwa wateja wa kudumu ba kutelekeza familia

Sasa kunogewa hadi kutekeleza familia yako hiyo haikuji.
 
Wanaume waliopo kwenye ndoa ndio wateja wakubwa wa machangudoa kutokana na stress za wake wao.
Dont frustrate your husband with love, he will frustrate you with deseases
 
Usiruhusu mumeo aende mwenyewe usiku mitaa ya Kona Bar, (Afrika Sana, Kijitonyama DSM), Morogoro Store Oyserbay, Meeda Club Sinza, Buguruni, Temeke Uhayani, Magomeni, tena huku ni hatari zaidi, kuna makaka poa pia (mashoga).
Hebu naomba tuoredheshe maeneo mengine yanayoweza kumtia mwanamume majaribuni, akajikuta anakisahau kitumbua cha mkewe kwenye kidole cha pete ya ndoa. Si mnajua machangu wakuulizi "umeoa?"
www.upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/64/De_Wallen.JPG/300px-De_Wallen.JPG
Kuna wasiovuma lakini wamo. Kwani hao machangu hawana ndugu au mashemeji? Unadhani akikufuata nyumbani utachomoa? Machangu wapo kila mahala. Ni kusema na hamu zetu tu
 
Wanaume waliopo kwenye ndoa ndio wateja wakubwa wa machangudoa kutokana na stress za wake wao.
Dont frustrate your husband with love, he will frustrate you with deseases

ungekua karibu ningekununulia bia. Umesema maneno ya maana sana
 
wapendwa hutakiwi kupambana na hsgirl,shost wala changudoa utapata wazimu bure pambana na mumeo muweke kwenye maombi haswa atahangaika wee akishaonja joto ya jiwe atarudi tu na kutulia sema la msingi na kuhofia ni gonjwa letu hili by the way kunguru anafugika ni tabia tu!
 
Back
Top Bottom