Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Asee wale machangu wa Meeda wachafu bana daaah.
machangu wa wapi ndio wasafi nikaimarishe ulinzi zaidi huko? Mashosti na watu wangu wa jirani nisha wadhibiti
Kikulacho ki nguoni mwako. Mashoga zako, wadogo zako na housegirl wako ndio wanafaidi mbyopyo ya mumeo.
Wa Garden Bistro
Changu, changu ni changu, wa Garden Bistro, wa uwanja wa fisi, wote ni wezi, wote hawana mapenzi ya kweli, wote ni malaya, wote wanajiuza, wote wanakesha kwa ajili ya mtarimbo na wote ni hatari kwa mumeo
Hivi kuna mwanaume anayenunua huduma za changu akitegemea mapenzi ya ukweli?
kule ni mwendo wa chapa ilale, ila kuna watu wanadatishwa na mbunye za machangu na wanakuwa wateja wa kudumu ba kutelekeza familia
Shoga ntavumilia, mdogo wangu napiga chini fasta.
hausi gelo nafukuza naleta hausi boy handsome.
Hivi kuna mwanaume anayenunua huduma za changu akitegemea mapenzi ya ukweli?
Kuna wasiovuma lakini wamo. Kwani hao machangu hawana ndugu au mashemeji? Unadhani akikufuata nyumbani utachomoa? Machangu wapo kila mahala. Ni kusema na hamu zetu tuUsiruhusu mumeo aende mwenyewe usiku mitaa ya Kona Bar, (Afrika Sana, Kijitonyama DSM), Morogoro Store Oyserbay, Meeda Club Sinza, Buguruni, Temeke Uhayani, Magomeni, tena huku ni hatari zaidi, kuna makaka poa pia (mashoga).
Hebu naomba tuoredheshe maeneo mengine yanayoweza kumtia mwanamume majaribuni, akajikuta anakisahau kitumbua cha mkewe kwenye kidole cha pete ya ndoa. Si mnajua machangu wakuulizi "umeoa?"
www.upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/64/De_Wallen.JPG/300px-De_Wallen.JPG
Hivi kuna mwanaume anayenunua huduma za changu akitegemea mapenzi ya ukweli?
Wanaume waliopo kwenye ndoa ndio wateja wakubwa wa machangudoa kutokana na stress za wake wao.
Dont frustrate your husband with love, he will frustrate you with deseases