Sehemu hatari kwa mumeo/ mpenzio (kuna machangudoa)

Tukioa wanne mnakwazika
Tukinunua hampendi
Tufanyeje sasa wakati mwanaume rijali hatosheki na mke mmoj?
 
na ukiona mwanaume anachukua changu wala sio wa kuongea naye.
Sema na Mungu wako tu ashughulike naye.
cheating, i can live with it hasa kama mwanamke ni mzuri na behaved kuliko mie.
Changudoa? Hiyo ni zereyu.
Mazereu kabisa
 
Mazereu kabisa
Hahaaaa hahaaa zereu.!!! sio zereu huyo ujue anakuheshimu na kukupenda
1: anakulinda..
2: hataki kukusumbua
3: no stress hukuti msg wala majina ya ajabu ajabu kwenye simu yake..
4: hutarajii mke mwenza wala watoto wa nje ya ndoa.( mobeto style).
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…