Sehemu hatari zaidi duniani kwa picha

Sehemu hatari zaidi duniani kwa picha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ulimwengu wa dunia hii tuliyo nayo una kila aina ya rekodi — mbaya na nzuri, za kuchekesha na za kuumiza, za kushangaza na za kutatanisha, za kuogofya na za kutisha.

Hizi za leo ni rekodi za sehemu hatarishi zaidi duniani. Yaani, ukikosea kidogo tu, umekwisha! Waswahili wanasema, "One mistake, one goal."

Lakini cha kushangaza zaidi, sehemu kubwa za hizi maeneo zimejengewa miundombinu, na zingine zimejengwa majumba na kadhalika.

Sasa jaribu kujiuliza, kama kwa sasa ziko hivi, zikishikilia rekodi ya dunia ya sehemu hatarishi zaidi, vipi kuhusu hao waliohusika kwenye ujenzi wake?
  • Je, waliumia wangapi?
  • Je, walipata ulemavu wangapi?
  • Je, walikufa wangapi?
  • Je, ni hasara kubwa kiasi gani wahusika waliingia kwa uharibifu wa vifaa na mashine?
Hiki kinaitwa "kichaa cha binadamu."

FB_IMG_1732335972860.jpg
 
Back
Top Bottom