Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... barabara inayoteremka Mashariki ya Lushoto inafanana'fanana!Kama break zako za mawazo hii njia haikufai.. Maana hutatoboaView attachment 3159498
😂Maeneo mazuri kuondolea stress ila sio za madeni unaweza usirudi...
Sio powaHii style unamwaga hadi damu..!
Ni kweli, kwa kulinganisha ni tambarare kabisaBro kule ni kama tambarare😀
Gaza ya yombohow about GAZA??
Hizo njia ndiyo sisi wachaga huzitumia tukiwa tunarudi nyumbani,,Kibosho kutoka KbImagine this roadView attachment 3159424
Hata mimi naona kama picha za kutengeneza. Na kama ni kweli, basi weupe wanajiharatarisha sio kawaidaMshana jr ya ukweli haya au picha zengine za uongo
Umenikumbusha njia ya kueleakea kibosho kirima,ilipo kibosho hosp.Hizo njia ndiyo sisi wachaga huzitumia tukiwa tunarudi nyumbani,,Kibosho kutoka Kb