Sehemu iliyotulia Dodoma

Nenda Dodoma hoteli pale kwa mgahawa wa kichina pametulia ila na budget imetulia
 
Hivi Dodoma kuna hotel (s) ambayo ina small villas houses?

Ambapo mtu kama wapenzi wanataka utulivu na faragha ya peke yao wenyewe,

Hata wakitaka kuwa naked hakuna mwingiliano na wateja wengine ?!

Dar yenyewe sijui kama zipo.

Nikisikiaga kigamboni sijui kama kweli!
 
Labda ukitaka hvyo tafuta air bnb house
 
Wakuu umofia kwenu?

Natafuta pub au sehemu yoyote kama bar iliyojificha ficha maeneo ya Dodoma. Nataka niende na mtoto sasa sipendi sehemu yenye watu wengi.
Kuna chimbo tulivu lenye viwango panaitwa Domiya
 
Ni nyumba private ..mtu unakodisha kwa siku moja


Sema haziko “ tailored made.”

Zipo chache sana za kuhesabu lakini ziko kwenye makazi ya watu mtaani Kwa hiyo convenience yake inakuwa siyo kivile!
 
Dodoma hakuna ubunifu kabisa wa biashara. Kula mtu anawaza kufungua bar tu. Uwezo wa kufikiri umeishia hapo.



Hata sehemu yenye huduma ya breakfast nzuri mfano yenye chai ya maziwa ya ukweli ya viwango sizani kama zipo Dodoma!

Yani mmnh!
 
Acheni dharau
Kama hamjafika Dom tuulizeni



Wala siyo dharau!

Hebu tuambie sehemu zenye migahawa ya ukweli ni wapi walau miwili nitatuma.

Sema ninachokiona pengine vile wewe utaona panakufaa si vile mimi patanifaa.

Ni mfano mimi siwezi ona wali ulopikwa
Kwa Rice cooker kufaa lakini wewe au mwingine akaona unafaa.
 
Wafanyakazi wenyewe nasikia ambao wako committed ni wale wa kutoka mikoa mingine lakini wenyeji hawaishi excuses na uvivu!

Hapo utasema ni dharau wewe Einstein?
 
Njoo nikupeleke maana staki maneno matupu.

Uhindini kuna machimbo kibao ya levo zenu wadosi
 
Njoo nikupeleke maana staki maneno matupu.

Uhindini kuna machimbo kibao ya levo zenu wadosi
Hahaha kweli wewe mgogo Sasa hapo uhindini Kuna kipi Cha maana zaidi ya kachori, sambusa na Chapati za kumimima
 
Wafanyakazi wenyewe nasikia ambao wako committed ni wale wa kutoka mikoa mingine lakini wenyeji hawaishi excuses na ubwa!

Hapo utasema ni dharau wewe Einstein?
Kwaio hata Dodoma Hotel ni pakifala? Njoo uhindini upelekwe hadi mighahawa ya European foods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…