Sehemu kuu za maumivu ya kichwa hizo hapo angalieni

Sehemu kuu za maumivu ya kichwa hizo hapo angalieni

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
1484724_255267544639390_143077535_n.jpg

kwenye Pua, kwenye jicho kwenye utosi na kichwa kuumwa upande mmoja
 
1555441_570453389706634_248299204_n.jpg



UNAUMWA NA KICHWA KILA WAKATI? KULA HAYO MATUNDA NA MAJI YA UVUGUVUGU UTAPONA HARAKA.


DO YOU EVER GET HEADACHES?

When dealing with an aching head, it's become so easy to pop some pills. If you're trying to steer clear of pain relievers, some of the best help can come from the produce aisle.


Potato: (viazi ulaya) After a night out, you may think that a plate of greasy fries is the way to go; forget the french fries and go for a baked potato instead. Foods high in potassium have proven to help alleviate bad headaches, and a baked potato with its skin offers up to a whopping 600 mg.

Bananas (Ndizi) The dynamic duo of potassium and magnesium come to the rescue in one tasty piece of fruit. Magnesium's calming effects are a huge help when trying to alleviate an achy head.

Watermelon (Tikiti maji) A lot of the time when dealing with a headache, chances are you may be dehydrated. A water-rich fruit like watermelon can give you a huge boost and also serves as a solid source of potassium and magnesium!

Pineapple (Nanasi) Fresh pineapple can also help soothe your headache woes. The natural enzyme bromelain has been linked for centuries as a form of natural pain relief. It also boasts anti-inflammatory properties that can help get your head right as well.

Cucumber: In the same vein as watermelon, cucumber can help cut dehydration out of the picture. Composed of 95 percent water, the highly hydrating cucumber is a perfect option for a fresh, headache-fighting snack.
 
Mungu akujaalie uzima mbee!
Atujaalie kwa sote tunakumbushana kitu muhimu kwa binadamu uzima na afya kaka ni kitu muhimu kuliko pesa. Pesa ukiwa nazo unaweza wapi kununuwa uzima? Pesa utanunuwa nyumba gari,na kila kitu ukitakacho ila pesa huwezi kununuwa uhai au uzima wa afya yako. Kwa hiyo Uzima wa Afya yako ni kitu bora kuliko pesa kaka.
 
Atujaalie kwa sote tunakumbushana kitu muhimu kwa binadamu uzima na afya kaka ni kitu muhimu kuliko pesa. Pesa ukiwa nazo unaweza wapi kununuwa uzima? Pesa utanunuwa nyumba gari,na kila kitu ukitakacho ila pesa huwezi kununuwa uhai au uzima wa afya yako. Kwa hiyo Uzima wa Afya yako ni kitu bora kuliko pesa kaka.

Sure Mkuu
An empty pocket teaches you million things in life ila full poket inaweza kukuspoil in million ways
 
Atujaalie kwa sote tunakumbushana kitu muhimu kwa binadamu uzima na afya kaka ni kitu muhimu kuliko pesa. Pesa ukiwa nazo unaweza wapi kununuwa uzima? Pesa utanunuwa nyumba gari,na kila kitu ukitakacho ila pesa huwezi kununuwa uhai au uzima wa afya yako. Kwa hiyo Uzima wa Afya yako ni kitu bora kuliko pesa kaka.

Kweli kabisa mkuu, Ubinadamu kwanza.
 
Mheshimiwa sana Dr. MziziMkavu, kama mtu ana maumivu mengine tofauti na hayo ya kichwa angila matunda hayo anapona?Au kuna mengine ya zaidi ya hayo?
 
Ubarikiwe mziz mkavu,kichwa huwa kinanisumbua sana,naamin kwa tba hii ntapona.
 
Mheshimiwa sana Dr. MziziMkavu, kama mtu ana maumivu mengine tofauti na hayo ya kichwa angila matunda hayo anapona?Au kuna mengine ya zaidi ya hayo?
Inategemea una maumivu ya aina gani? Karibu kila matunda yanasaidia kutibu maradhi mengi tu nijuavyo mimi Matunda yote ni Dawa na chakula.Kwa mfano soma hapo chini Baadhi ya Faida za Matunda:

VIFAHAMU BAADHI YA VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUPUNGUZA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME.



945328_515552331832870_1265525530_n.jpg



Baada ya kuweza kuangalia utangulizi mfupi juu ya sababu zenye kupelekea upungufu wa nguvu za kiume na madhara yake baina ya wahusika leo tuangalie kwa ufupi baadhi ya vyakula vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume.

Uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili. Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina mbalimbali ya vyakula ambavyo vina uwezo mkubwa wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo:

MLONGE/ NAZI.
Chukua nusu kikombe cha maua ya mlonge, ongeza kijiko kimoja cha chai cha vumbi la machicha ya nazi. Chemsha katika nusu lita ya maji kwa muda wa dakika 15, kutengeneza aina ya supu. Chuja na baada ya kupoa kila jioni kunywa nusu glasi, saa moja kabla ya kwenda kulala. Endelea na tiba hii kwa muda wa mwezi mmoja.

KITUNGUU MAJI/ASALI
Ponda ponda kitunguu maji cheupe cha ukubwa wa kati ( gramu 50 ). Kaanga ndani ya mafuta ya samli, baada ya kupoa changanya na kijiko kimoja cha mezani cha asali. Kula nusu saa kabla ya kwenda kulala. Endelea na tiba kwa muda wa mwezi mmoja.

ZABIBU NYEUSI ( BLACK RAISINS )
Chukua zabibu kavu nyeusi. Zioshe vizuri na maji ya moto. Kula gramu 40 za zabibu ikifuatiwa na glasi moja ya maziwa. Fanya hivyo mara tatu kwa siku. Endelea na tiba kwa muda wa mwezi mmoja.

TANGAWIZI/ ASALI
Chukua nusu kijiko cha chai cha juisi ( au unga ) ya tangawizi. Changanya vizuri na kijiko kimoja cha mezani cha asali. Tumia pamoja na nusu yai lililochemshwa kila jioni kabla ya kwenda kulala. Endelea na tiba kwa muda wa mwezi mmoja.

KAROTI
Saga au pondaponda gramu 200 za karoti. Ongeza nusu ya yai lililochemshwa na kijiko kimoja cha mezani cha asali. Changanya kwa pamoja. Kula nusu saa kabla kwenda kulala . Endelea na tiba kwa muda wa mwezi mmoja.

BAMIA/ ASPARAGASI

Chukua gramu kumi za unga wa mizizi ya bamia. Changanya na gramu 15 za unga wa mizizi ya asparagasi . Chemsha katika glasi moja ya maziwa kwa muda wa dakika tano. Kunywa asubuhi na jioni saa moja kabla ya kwenda kulala. Endelea na tiba hii kwa mwezi mmoja.

PILIPILI
Pilipili zilizocheshwa zimetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia msukumo wa usambazaji damu mwilini, ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo unaoweza kumfanya mtu akawa na hisia kali za kimapenzi. Kwa msingi huo, ni vema kwa wale wanaokabiliwa tatizo la uwezo wa kufanya mapenzi wakatumia pilipili si kwa wingi bali kwa kiwango stahili, ili waamshe hisia zao.

PARACHICHI
Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwana msisimko mkali wa kimapenzi

KARANGA MBICHI ZISIZOKOBOLEWA
Watu wa biolojia (Biologist) wanasema karanga zisizokobolewa zina protini (protein) muhimu ambayo inamchanganyiko wa Carolis ambayo kwa hakika imethibitishwa kuwa, nayo ni msaada mkubwa kwa upungufu wa nguvu za kiume.

MAUA YA YERUSALEM (STAR OF JERUSALEM)
Ikiwa mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume atakuwa akitafuna vikonye vitatu vya maua meupe ya Yerusalem. Acaroids Acid ina virutubisho muhimu ambapo watu wa biolojia wameamini kuwa kiwango kikubwa kinauwezo wa kuratibu swala hilo la nguvu za kiume

MDAlASINI + ASALI (SERMON + HONEY)
Hiyo imedhibitishwa na watalaamu kuwa unweza kutibu upungufu wa nguvu wa kiume. Unapotumia mdalasini pamoja na asali mara kwa mara unaongeza nguvu za kiume na kuondoa maumivu unayoyapata.

MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI.

Mlo wenye matunda na mboga za majani una matokeo makubwa sana katika hamu ya tendo la ndoa kwa njia nyingi. Kwanza matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene (cholesterol), kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu. Pia kula matunda na mboga za majani huhakikisha balance ya uzito kwani unene (obesity) kwa wanaume kuna matokeo mabaya katika kuzalisha homeni za testoeterone na hatimaye jogoo kushindwa kuwika na kuwa na libido kidogo.


CHOKOLETI

Ulaji wa Chokoleti huongeza uchangamfu mwilini na hivyo kumuwezesha mtu anayeshiriki tendo la ndoa kuwa na mguso sahihi kwenye fikra zake, jambo litakalomuwezesha kupokea hisia za mapenzi kwa urahisi zaidi ya mtu ambaye anakwenda kwenye uwanja wa sita kwa sita akiwa mchovu wa mawazo.

CHAZA NA PWEZA
Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

POMEGRANATE
Ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa.

MVINYO MWEKUNDU
Mvivyo mwenyekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu, kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baada ya tendo la ndoa, hivyo ni muhimu kunywewa hasa na wale ambao wanasumbuliwa na
tatizo la kushindwa kurudia tendo.

MBEGU ZA MATUNDA
Mchangayiko wa mbegu mbalimbali za matunda, mfano tikiti, maboga husaidia kuondoa ACID mwilini na kumfanya mtu ajione ni mwenye afya njema.

VANILLA
Vanila husaidia kuamasha hamasa mwili.Mwisho wa aina hizi za vyakula ni TIKITI
MAJI ambalo linatajwa kuwa na virutubisho vingi vyenye uwezo wa kuusaidia mwili kuwa na nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa.

NAFAKA HALISI
Nafaka zina nyuzinyuzi (fibre) na sukari ngumu (complex sugar) ambazo kusaidia kutunza uzito wa mwili. Nafaka husaidia katika kuzalisha homoni za testosterone kwenye damu. Na pia nafaka huwezesha mtu kuwa na nguvu hatimaye kwenda masafa marefu wakati wa tendo. Kula nafaka nzima kama vile brown bread badala ya white bread, pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes ni jambo zuri linalokuhakikisha afya njema na mahusiano mazuri ya ndoa yako

SOYA
Pamoja na kuwa na kiwango kidogo sana cha fat na pia kuwa na kiwango kizuri cha protein, soya zina phytoestrogens ambayo husaidia sana wanawake ambao wamefikia menopause kutengeneza homoni estrogen ya ziada. Husaidia uke kuwa laini (wet, lubricated) mwanamke akisisimliwa wakati wa tendo la ndoa.

Baada ya kuangalia baadhi ya vyakula vinavyosaidia kupunguza matatizo ya nguvu za kiume. Tutawaletea njia nyingine mbalimbali za kuweza kuondokana na tatizo hilo linalowakabili baadhi ya wanaume wengi hapa nchini.




JE UNAZIJUA FAIDA HIZI 9 ZA CHUNGWA?



1016194_515052641882839_1418410200_n.jpg





JE UNAZIJUA FAIDA HIZI 9 ZA CHUNGWA?


1.UKOSEFU WA CHOO
Kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha kirutubisho aina ya kambalishe (fibre), chungwa husaidia usagaji wa chakula tumbuni na hutoa ahueni kwa mtu mwenye matatizo ya ukosefu wa choo. Aidha, kambalishe huondoa kolestro na huimarisha kiwango cha sukari mwilini, hivyo chungwa ni zuri kwa wagonjwa wa kisukari.

2.UGONJWA WA MOYO Kiwango kikubwa cha Vitamin C na virutubisho vya ‘flavonoids', ‘phytonutrients' vilivyomo kwenye chungwa, huondoa kwa mlaji hatari ya kupatwa na magonjwa ya moyo (Cardiovascular disease)!

3. SHINIKIZO LA DAMU Virutubisho vya Magnesi (Magnesium) na ‘hesperidin' vilivyomo kwenye chungwa, husaidia kuondoa tatizo la shinikizo la damu la juu (high blood pressure), hivyo machungwa ni mazuri kwa wagonjwa wa presha.

4. MIFUPA NA MENO Chungwa
lina kiasi kingi cha madini ya kalisi (calcium) ambayo ni muhimu kwa uimarishaji wa mifupa na meno.

5. KOLESTRO Virutubisho vilivyomo kwenye chungwa, hasa kwenye maganda yake, hupunguza kiwango cha mafuta mabaya mwilini (bad cholesterol). Hivyo kwa wenye tatizo la lehemu wanashauriwa kula machungwa pamoja na nyama zake.

6. KINGA YA MWILI Vitamin C
iliyomo kwenye chungwa huimarisha uzalishaji wa seli nyeupe ambazo ni muhimu kwa uimarishaji wa kinga ya mwili. Unapokuwa na kinga imara, huwezi kusumbuliwa na magonjwa mara kwa mara, yakiwemo malaria.

7. VIDONDA VYA TUMBO
Unapokuwa na kiwango cha kutosha cha Vitamin C mwilini, una uhakika na kinga dhidi ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo, na kama tayari unavyo, ulaji wa machungwa utakupa ahueni.

8. UGONJWA WA MAFUA Kutokana na wingi wa virutubisho vya kinga vilivyomo kwenye chungwa, ulaji wake mara kwa mara utakuepusha na magonjwa ya kuambukiza na vairasi (virus), kama vile mafua ambayo hivi sasa yanawasumbua watu wengi. Hivyo kula machungwa mengi kadri uwezavyo ili ujiepushe na mafua kwa sasa.

9. KINGA YA MAGONJWA MENGI
Chungwa, siyo tu linatoa kinga kwa magonjwa yaliyoainishwa hapo juu, bali pia hutoa kinga hata kwa magonjwa mengine kama vile baridi yabisi (arthritis, rheumatism), pumu, kikohoo, kifua kikuu, nimonia na kisukari. Nakushauri kula machungwa au juisi yake halisi kuanzia leo ili kupata faida hizo.
Kwa ushauri zaidi tuwasiliane kwa njia ya Email baruwa ya Pepe nitumie Email yangu Address fewgoodman@hotmail.com
 
Ubarikiwe mziz mkavu,kichwa huwa kinanisumbua sana,naamin kwa tba hii ntapona.

Ninakupa na dawa ingine ya Maradhi ya Kichwa ya Tiba Mbadala:


pendelea kila uposikia kiu kunywa maji ya Uvuguvugu basi unaweza kukaa hata mwaka usiumwe na maradhi

yoyote yale. Kwa Mtu Mgonjwa wa Maradhi yoyote inatakikana uwe unakunywa maji Uvuguvugu unapo amka Asubuhi kabla

ya kupiga mswaki unywe Glasi 2 za Maji ya
Uvuguvugu na baada ya kupiga Mswaki unywe glasi 1 na kabla ya kunywa chai

unywe Glasi moja ya
Uvuguvugu kila siku ufanye hivyo kwa wakati wa asubuhi.

Na Wakati wa mchana Dakika 15 au dakika 30 kabla ya kula chakula cha mchana unywe maji ya Uvuguvugu Glasi 1.

Na Wakati wa chakula cha Usiku unatakiwa unywe Maji ya Uvuguvugu Glasi 2 kabla ya kula chakula cha usiku.

na unywe Maji Ya Uvuguvugu Glasi 1 kabla ya kwenda kulala usiku. Utapona kabisa kichwa chako na kuondoka na

maradhi yoyote yale yaliyoko mwilini mwako. Tumia kisha uje unipe Feedback

550px-DrinkHotWater-Step-3.jpg



550px-DrinkHotWater-Step-4.jpg



surviveaheartattack_thumb.gif



MAJI NI DAWA MAJI NI UHAI KUNYWA MAJI KILA WAKATI UPATE KUISHI MAISHA YA RAHA NA BILA YA

KUUMWA.
 
Back
Top Bottom