Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Atujaalie kwa sote tunakumbushana kitu muhimu kwa binadamu uzima na afya kaka ni kitu muhimu kuliko pesa. Pesa ukiwa nazo unaweza wapi kununuwa uzima? Pesa utanunuwa nyumba gari,na kila kitu ukitakacho ila pesa huwezi kununuwa uhai au uzima wa afya yako. Kwa hiyo Uzima wa Afya yako ni kitu bora kuliko pesa kaka.Mungu akujaalie uzima mbee!
Atujaalie kwa sote tunakumbushana kitu muhimu kwa binadamu uzima na afya kaka ni kitu muhimu kuliko pesa. Pesa ukiwa nazo unaweza wapi kununuwa uzima? Pesa utanunuwa nyumba gari,na kila kitu ukitakacho ila pesa huwezi kununuwa uhai au uzima wa afya yako. Kwa hiyo Uzima wa Afya yako ni kitu bora kuliko pesa kaka.

Inategemea una maumivu ya aina gani? Karibu kila matunda yanasaidia kutibu maradhi mengi tu nijuavyo mimi Matunda yote ni Dawa na chakula.Kwa mfano soma hapo chini Baadhi ya Faida za Matunda:Mheshimiwa sana Dr. MziziMkavu, kama mtu ana maumivu mengine tofauti na hayo ya kichwa angila matunda hayo anapona?Au kuna mengine ya zaidi ya hayo?
Ubarikiwe mziz mkavu,kichwa huwa kinanisumbua sana,naamin kwa tba hii ntapona.