Abdominal surgery
New Member
- Feb 23, 2019
- 4
- 1
Ibadakuli pote uko Mkuu? Ivi butiama ya muhindi minazi bado ipohapa ibadakuli kuna grocery moja kali sana,inaitwa,Blueshine,kuna bata za hatari
bakurutuHodi wote wakuu! Tafadhari Sana wiki ijayo nasafari kwenda shinyanga naomba kujua ni sehemu ngani nzuri na bar gani kuna watoto wazuri kwa shy?
Nawasilisha
Naskia kuna Nela mkuu,Wanaisifia kinyama ipo pembeni na Level4 NSSF,pia kuna Butiama,Ray misanga,,Siku nimetua apo fas lazima nitimbe chimbo izo aseebakurutu
[emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]Nenda cesarian section, pazur mnooi
Au splenectomy