Mangunja
Member
- Aug 12, 2013
- 24
- 4
habari zenu wana jf, naombeni ushauri wenu juu ya sehemu nzuri inayofaa nataka nifungue play station, watoto hata vijana waje wacheze game, nipo dar es salaam, hata kama kuna anaye pangisha frem sehemu inayofaa kwa mradi huo tuwasiliane.. Mtaji wangu ni milioni moja,, ushauri zaidi kuhusu biashara hiyo nauhitaji pia,,