Sehemu nzuri ya kula bata mkoa wa Tabora

Juma2002

Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
22
Reaction score
33
Jamani waungwana wekendi nimeingia tabora, mwenye kuijua anielekeze wapi nikale bata na nitapata viburudisho au mambo yetu yaleeee mana nasikia kuna vichotara vyakutosha..nielekezeni jamani
 
Nenda Orion hotel karibu na station.
 
Vijana wa mboka[emoji23][emoji23]
 
sehemu mzuri pa kula bata ni sehemu za mapajani ndo ana nyama nyama za kutosha.
 
Nataka watoto wazuri jamani hapa tabora nitapata wapi
 
Tabora unakula bata au unahatarisha maisha kwa virusi (toka kwa baamedi) na kunywa sumu (wenyewe mnaita bia)?
Hebu angalia wanaokula bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…