Sehemu nzuri ya kutuliza mawazo hapa Moro

Nina siku kadhaa hapa Moro ,si mwenyeji saaana,naomba wenyeji wanielekeze sehemu ya kutoka out na kutuliza mawazo ili kesho niwe na ari ya kupokea form za maombi ya sensa na kuzisaini pale ofisini

Msamvu kwa sasa:Mtendaji
Njoo kwangu nikunyweshe wine [emoji485]
 
Nina siku kadhaa hapa Moro ,si mwenyeji saaana,naomba wenyeji wanielekeze sehemu ya kutoka out na kutuliza mawazo ili kesho niwe na ari ya kupokea form za maombi ya sensa na kuzisaini pale ofisini

Msamvu kwa sasa:Mtendaji
Njoo hapa Majumba ya Mawe utulie huku ukila choma ya Noah
 
Ngapi Huko?

Njoo Hapo Cate Hotel Utulie, Halafu Kesho Ugonge Muhuri Taratibu
 
Wa Moro tayari wameshatuangusha!! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
 
Nina siku kadhaa hapa Moro ,si mwenyeji saaana,naomba wenyeji wanielekeze sehemu ya kutoka out na kutuliza mawazo ili kesho niwe na ari ya kupokea form za maombi ya sensa na kuzisaini pale ofisini

Msamvu kwa sasa:Mtendaji
Njoo Terminal pub hapa ugonge supu ya mbuzi then uendelee na yajayo
 
Back
Top Bottom