Sehemu nzuri ya makazi Mwanza City

Sehemu nzuri ya makazi Mwanza City

nadhani itakuwa ukienda nje ya jiji kidogo! kama Missungwi huko bei poa. Ila inachukua kama dkk 20 kuingia ndani ya jiji kama una usafiri wako. Vinginevyo Nyegezi, Igoma, Nyasaka au maeneo ya Igombe au vuka Kamanga Ferry utapata sehemu nzuri lakini umeme haupo.
 
Kajenge bwiru pako powa sanaaa..mie napakubari
 
Hata mimi Nahitaji kuwa na kiwanja nasikia Mwanza ni Pazuri
 
nadhani itakuwa ukienda nje ya jiji kidogo! kama Missungwi huko bei poa. Ila inachukua kama dkk 20 kuingia ndani ya jiji kama una usafiri wako. Vinginevyo Nyegezi, Igoma, Nyasaka au maeneo ya Igombe au vuka Kamanga Ferry utapata sehemu nzuri lakini umeme haupo.

Kajenge bwiru pako powa sanaaa..mie napakubari

Asanteni sana wadau. APPRECIATE 😛oa
 
Back
Top Bottom