nadhani itakuwa ukienda nje ya jiji kidogo! kama Missungwi huko bei poa. Ila inachukua kama dkk 20 kuingia ndani ya jiji kama una usafiri wako. Vinginevyo Nyegezi, Igoma, Nyasaka au maeneo ya Igombe au vuka Kamanga Ferry utapata sehemu nzuri lakini umeme haupo.