VENTURECACHER
Member
- Oct 24, 2011
- 38
- 8
Una shida gani na @Rebeca89..Ukiulizia kitu uwe unatambua kuwa hapa JF watu tupo nchi mbali mbali na mikoa mbali mbali so jitahidi ku specify upo maeneo gani ili uweze kusaidika haraka.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nenda Hospitali Ya Amana au Mloganzila.
Sina shida mtu humu JF labda kama kuna yuko na shida na mimi simjui. Kuhusu huo ushauri huwa wanasema akili zakuambiwa changanya na zako.Una shida gani na @Rebeca89..
vipi ushauri wa Depal uliufanyia kazi, kuhusu yule mams ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nini tena hapa?Una shida gani na @Rebeca89..
vipi ushauri wa Depal uliufanyia kazi, kuhusu yule mams ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina shida mtu humu JF labda kama kuna yuko na shida na mimi simjui. Kuhusu huo ushauri huwa wanasema akili zakuambiwa changanya na zako.
Nenda Hospitali Ya Amana au Mloganzila.
Mkoa gani?Msaada sehemu nzuri ya kuwezaa kutoka out kupumzikaa mazingira yawe kma garden au hotel ya bei ya kawaidaa msaada tafadhaliii.
Sent using Jamii Forums mobile app