Je wajua ni company gani inatoa vifaranga bora ?

  • S&Q GROUP INTERANTIONAL COMPANY LIMITED

  • S&Q GROUP IS THE BEST WANA CHOTALA ADI WA MIES MIWILI TU wako pekee hapa Tanzania wenye brand hii


Results are only viewable after voting.

Madam Ritha Massawe

Senior Member
Joined
Sep 25, 2021
Posts
152
Reaction score
141
AINA YA VIFARANGA VINAVYOPATIKANA HAPA S&Q NIKAMA IFUATAVYO
1.VIFARANGA VYA KUKU WA MAYAI -BRAND NI HY-LNE- MIEZI 4- WANATAGA..BOX 280,000 WANAKAA 100
2.VIFARANGA VYA KUKU WA NYAMA - BRAND ZIKO MBILI ROSE WA MWEZI MMOJA...PRICE CHANGES
PIA KUNA BRAND YA BROILER TS.900 HAWA NI CHOTALA MIEZI MIWILI TU TANZANIA WANAPATIKANA KWETU TU...PRICE 130,000 WANAKAA 100 KWENYE BOX
3.PIA TUNA VIJOGOO KWA BEI RAHISI TU BOX 12000 WANAKAA 100

KWA MAELEZO CALL ME 0781-647066 MADAM RITHA NIKUHUDUMIE ...PIA TUNAKALIBISHA AGENT TUNAFANYA NAO SANA KAZI




 
Gharama za kusafirisha vifaranga anabeba nani?( Nnje ya mkoa wa Dar)
Wewe ama mnunuzi?
 
Gharama za kusafirisha vifaranga anabeba nani?( Nnje ya mkoa wa Dar)
Wewe ama mnunuzi?
habari Jeryy hapa sasa hua inategemea na idadi ya box za vifaranga kama ninyingi we can consider offer transport to his area , ila kama ni chache hili ni juu ya mteja sisi tutambebe kutoka kiwandani hadi sehemu ya distribution which is at center hapa Dar
 
Naam
 
lugha gongana, jitahidi kutumia lugha moja wengine unatuacha
 
Mawakala wenu wapo wai?
 
Mawakala wenu wapo wai?
ulikua unahitaji wakala wa mkoa gani boss wangu maana hapa mm nimtu wa makao makuu so kama uko mkoa unawezanijua ila wakala wapo wengi tupo na agent (kama Oneoneanimalfeed) hawa wako na vyakula pia huuza vifaranga kutokea company yetu ,,,
 
ulikua unahitaji wakala wa mkoa gani boss wangu maana hapa mm nimtu wa makao makuu so kama uko mkoa unawezanijua ila wakala wapo wengi tupo na agent (kama Oneoneanimalfeed) hawa wako na vyakula pia huuza vifaranga kutokea company yetu ,,,
Nipo mwananyamala A, nyuma kidogo ya Ofisi yenu.
 
Je, Hivyo vijogoo vina mature baada ya muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…