A
Anonymous
Guest
Sehemu ya kula wasafiri pale Morogoro Msamvu njia ya kwenda Iringa ni chafu, vyakula vinavyouzwa vimelala siku mbili, chips ni nyeusiii sijui ni mafuta au ndio tunauziwa vyakula vya kulala!
Na mabasi yote lazima yapite hapo, sasa tunajiuliza ni kwamba wana asilimia fulani kutoka kwa wamiliki wa eneo hilo au wanapata faida gani?
Maana sehemu za kula ni nyingi ila watu wa mabasi wameng’ang’ania hapo.
Kama vipi waeleweshwe ili mabasi yhame njia hiyo walivyowahama pale karibu na Cate Hotel au wawaambie wabadilishe ubora wa vyakula vyao waweke vyakula vizuri.
Yaani ukishuka pale unaweza kuishia kula ndizi na machungwa hali ni mbaya kwa sisi tunaosafiri mara kwa mara, hasa wakati huu ambapo kuna kipindupindu.