paul paschal
New Member
- Oct 21, 2014
- 2
- 1
Afuate Taarifa za TangazoWakuu habari,
Dogo aliomba nafasi za tutor chuo cha sukari general agriculture sasa tumetwa oral na kwenye ajira portal inaonesha oral n kufanyie DODOMA kwenye ofisi za Sekratariat lakini tena Kuna tangazo linasema wasailiwa wa usaili wa mahojiano Wafanyie vituo walivyoainisha sasa sielewi tangazo lipi afuate msaada maana anapiga simu sekratariat inaita tu
Nmeku PM mkuuKama upo Dar-es-salaam, nenda kivukoni kwenye Jengo la UTUMISHI house karibu na kituo cha mwendokasi cha kivukoni. Wapo pale. Au njoo PM nikupe namba ya Afisa mmoja wa PSRS.
AENDE KITUO ALICHOANDIKIWA KWENYE AJIRA PORTALWakuu habari,
Dogo aliomba nafasi za tutor chuo cha sukari general agriculture sasa tumetwa oral na kwenye ajira portal inaonesha oral n kufanyie DODOMA kwenye ofisi za Sekratariat lakini tena Kuna tangazo linasema wasailiwa wa usaili wa mahojiano Wafanyie vituo walivyoainisha sasa sielewi tangazo lipi afuate msaada maana anapiga simu sekratariat inaita tu
UtamchanganyaAENDE KITUO ALICHOANDIKIWA KWENYE AJIRA PORTAL
NINA UZOEFU NA NILICHOANDIKAAENDE KITUO ALICHOANDIKIWA KWENYE AJIRA PORTAL
HAPANA UNAPOTOSHA ANATAKIWA KUFUATA KILICHOANDIKWA KWENYE ACC YAKE YA AJIRA PORTAL,DODOMA UWA KUNA VENUE KIBAO TU SIO LAZIMA KUFANYIA UKO ULIKO TAJA MI MARA YA MWISHO NIMEFANYIA DODOMA SEKONDARIKama ni Dodoma Oral zote ni Ofisi za Secretariat ya ajira katika Utumishi wa Umma, Udom kule