Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Asubuhi mpaka jioni ni muda mrefu sana...chukua flight nendeni arusha au nairobi mpate lunch kwenye 5* hotel then jioni mrudishe kwao tandale hapo utakuwa umeshinda 10-0!Ombi langu nataka nielekezwe sehemu nzuri apa Dar ambayo nitatoka nae kuanzia asubui mpaka jioni bila kuboreka.
Heri ya mwaka mpya mkuuAseeh
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukitaka kuazima gari nitafute
Wakuu,
Kuna girl huwa namtongoza kwa njia ya simu lakini amekua haingii kingi. Sasa leo amekubali nimtoe out but yupo off Alhamisi, kwangu mimi naona yupo classic sana.
Ombi langu nataka nielekezwe sehemu nzuri apa Dar ambayo nitatoka nae kuanzia asubui mpaka jioni bila kuboreka.
Nataka sehemu ambayo itakua fresh kwa mimi kushusha nondo zangu, yani mazingira tu yanipe ushindi wa 3-0 kabla ya sound.
N.B
Siku ni Alhamisi, mkinitajia na gharama itakua poa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] hahahah daaaaah ka ushauli kazuli sema ilikua kipindi cha kikwete xahv ukifanya watu waneza hisi we mchawiAsubuhi mpaka jioni ni muda mrefu sana...chukua flight nendeni arusha au nairobi mpate lunch kwenye 5* hotel then jioni mrudishe kwao tandale hapo utakuwa umeshinda 10-0!
akiazima atakuazima na wewe umdrive mkuuUkitaka kuazima gari nitafute