Sehemu ya kujifunza Yoga na Meditation Zanzibar

Sehemu ya kujifunza Yoga na Meditation Zanzibar

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,749
Reaction score
2,319
Kwa wana JamiiForums wanaoishi Unguja, Zanzibar.

Ningependa kujua sehemu ambayo naweza kujifunza yoga na meditation.

Asanteni
 
Nataka tu kwa ajili ya relaxation. Mambo ya uchawi siyajui kaka
 
Haha astral sio uchawi ni uwezo wa mtu kutenganisha mwili na mawazo yake
 
Back
Top Bottom