Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 103
weka picha ya eneo, sema jirani kuna biashara gani zinazokuzunguka, weka orodha ya vifaa vilivyopo, sema pango unalipa kiasi gani na una mkataba wa muda gani.
Sawa kabisa! swali zuri sana, unakunywa sodagani weye?
Ni eneo ambalo unaweza paki gari ndogo mbili kodi nalipa 40,000 kwa mwezi