<br />
<br />
Wezi tu hao, watataka rushwa.
hi watz wenzangu... naomba kuuliza, kuna sehemu niliwahi kusikia kwamba ukimaliza chuo kikuu unapeleka application zako na endapo kutapatikana vacancy watakuin4m. je ni wp? wanataka uambatanishe detail zipi? asanteni.
Kama ile ya serikali pale Akiba opp. na CBE.Recruitment agencies.