A
Anonymous
Guest
Mamlaka ya bandari Zanzibar sidhani kama haioni hali ya sehemu ya kusubiria boti kwenye bandari yao. Wateja wengi wa boti hupanda economy class ambayo watu wengi husubiria huku kwenye viti vya plastic.
Safari inamtaka mtu afike pale walau lisaa limoja kabla. Hivyo hutumia viti akisubiria safari.
Lakini kwa viti hivi, nadhani mtu atatoka akiwa analia kuhusu makalio yake.
Zanzibar inachukua watalii wengi sana, ni muhimu sehemu ya kusubiri kuvutia kwa kuwa wapo watalii hutumia economy class pia. Hali hii ya kutoboresha huduma nafhani inatuhatibia kama taifa, sifhani kama vile viti ni makumbusho pia.