du we Hitler wa ukweli ,badala ya kunadi kwa ufasaha biashara yako unaanza kututishia kuwa lazima tuuze chapatti za kipemba ,kuna majini umeyaweka wapo ili yale hicho chakula au!Kuna sehemu yakuuzia chakula na kutengeneza zile chips kama za Kinondoni inapangishwa. Eneo liko Sinza Mori karibu na Big Bon. Kuna fremu kubwa yakutosha, uwanja wakutosha na maji ya bomba yako muda wote. Pembeni yake kuna Pub mpya.
Mkodishaji anatakiwa atengeneze supu asubuhi, shakula cha mchana, supu jioni an usiku atengeze chips/kuku wekundu/mishikaki/rojo/chapati za kipemba/kichori etc.
Anaye hitaji tuwasiliane ili tuweke terms vizuri.
du we Hitler wa ukweli ,badala ya kunadi kwa ufasaha biashara yako unaanza kututishia kuwa lazima tuuze chapatti za kipemba ,kuna majini umeyaweka wapo ili yale hicho chakula au!
Hahhhhaah sio kichori nadhani alimaanisha kachori vile viaz vilivyopondwa pondwa na kuviringishwa kama goroli flani ivi mixer pilipiliKichori ndo nini jamani???
mweee nimecheka sana
Hahhhhaah sio kichori nadhani alimaanisha kachori vile viaz vilivyopondwa pondwa na kuviringishwa kama goroli flani ivi mixer pilipili
Nimependa ulivyoielezea kachori yani pale uliposema pili pili mweh !