Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Watanzania wenzangu mwaka huu ni mwaka wa maamuzi.. Zitangatia Ujumbe huu kwenye video fupi!!
Huu utaratibu wa CCM kutishia maisha ya watu kwa kutumia usalama wa taifa Si kwa CHADEMA tu... Msikilize huyu hapa!!!
wala haviohusiani na masuala ya Katiba Inayopendekezwa, tafuta hoja nyingine.
hujielewi wewe msukule wa mafisadi!!... Mnachokifanya tangu huu mchakato wa katiba uanze ni nini kama si kulinda ufisadi umnaoufanya..?
Hiyo katiba ya nyoka mwenye makengeza ni ya kwenu ma-ccm.. Kikubwa na kitu muhimu kwa sasa ni kujiandikisha kwa wingi na kuikataa ccm kwenye sanduku la kura oktoba 2015.. Baada ya hapo mchakato wa katiba inayotokana na maoni ya wananchi wananchi utaanza upyaa!!
Uchafu wenu umefika mwisho,,, watanzania wameamka kwa sasa
umeishiwa hoja wewe, huna jipya, isome uielewe ndo ujue uzuri wake, unabisha kitu ambacho hata kukisoma hujakisoma, sibishani na watu wenye hira na chuki kama wewe, mimi nakuelimiasha ujue umuhimu na haki zako zilizomo ndani ya katiba pendekezwa, wapi pameandikwa kuwa hii katiba ni ya chenge? Usifuate upepo, akili za kuambiwa changanya na zako. Acha hasira toa hoja zenye mantiki na sio matusi. Matusi nenda hukooooo kwenu.
Kuna haki gani kwenye katiba ya nyoka mwenye makengeza!!? Kutajwa kwenye katiba ndiyo kupewa...!?? Mafisadi yanajua kabisa tukizitaja tu mburura kama ninyi mtaridhika... Hujiulizi kwann wameweka kipengele cha kutozidai haki hizo mahakamani... Wanajua kabisa hizo haki hawatawapa na hamwezi kwenda kuzidai mahakamani..
Kuna haki gani kwenye katiba ya nyoka mwenye makengeza!!? Kutajwa kwenye katiba ndiyo kupewa...!?? Mafisadi yanajua kabisa tukizitaja tu mburura kama ninyi mtaridhika... Hujiulizi kwann wameweka kipengele cha kutozidai haki hizo mahakamani... Wanajua kabisa hizo haki hawatawapa na hamwezi kwenda kuzidai mahakamani..
Watanzania wenzangu mwaka huu ni mwaka wa maamuzi.. Zitangatia Ujumbe huu kwenye video fupi!!
Daah we jamaa asee hata masuala ya kisheria huyajui kumbe unataka sheria ziwekwe kwenye KATIBA duuh unahitaji Darsa kwanza kabla ya kuanza blabla waulize wenzio Katiba ni nini then ndo uje huku.....inashangaza pia kuona ukisema etiiii! Katiba ni ya kikundi Flani au kwasababu wale wengine walitoka tena wasio zidi 200....na akili zako zilivyondogo unawaona wale zaidi ya 400 waliobaki kutetea haki za makundi waliyotoka they are bullshit...halafu si ajabu umeandika hii post ni mtoto wa mfugaji au mkulima na pengine una ndugu au jamaa ambaye ni mlemavu anayehitaji kulindwa kikatiba....unaacha kuangalia hilo unafuata mkumbo kwenda kwa majendaheka wasio jua nini maana ya Utu...ona sasa hivi wanatoana macho kwenye Mgombea urais UKAWA....
Siongei na msukule wa ccm kama wewe!! Endeleen na upumbavu wenu maana akili zenu zimeshupaa..
Zako zime expiry ndo mana hujui kujibu hoja.
maramla and co.
Moja ya sifa ya mpumbavu ni kushupaa na hata ukamchanganya na ngano ukamtwanga upumbavu wake haumtoki...
Huwezi kumwambia mtu mwenye akili timamu katiba ya nyoka mwenye makengeza ni tunda la maridhiano ya watanzania juu ya mstakabali wa nchi yao akakuelewa...
Hizo video attachments ni kumkumbusha mtz umuhimu na thaman ya kura yake si kukataa katiba ya chenge tu bali n pamoja na kuikataa ccm ili tanzania ipone..
Ninaamin umaskini, rushwa, ufisadi, kuporomoka kwa maadili, kushuka the kwa elimu ni matatizo yaliyobarikiwa na ccm.. Falsafa inatuambia ili tutoke hapo tulipo n lazima akili iliyojuu zaidi inahitajika kutatua changamoto hizo.. Mind you that huwezi kutimia mfumo uliokusababishia tatizo ukutatulie tatizo ulilonalo...
Sasa mburura kama nyie pia n sehemu ya ugonjwa inayohitaji tiba..
Please don't argue with me kama umeridhika na umaskini pamoja na matatizo ya tanzania