Sehemu ya Ripoti ya BBI ya Kenya jinsi ya kumaliza ukabila naiweka Watanzania tusome Tuwashauri hapa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya

Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya hadhara,makanisani nk Pia wapige marufuku matumizi ya Lugha za kikabila media kama Radio,TV na Magazeti zitumike lugha za taifa tu

Ripoti yenyewe hii hapa hebu tuwashauri jirani zetu hawa kama kuna lolote la nyongeza au la kupunguza kama lipo

Wakenya wakubaliane mtu kuoa au kuolewa na mtu wa kabila lingine, hii itasaidia kupunguza sumu ya ukabila miongoni mwao.
 
Hivi si nyie Watanzania ndio tumeona clips za rais wenu akitishia watu kwa Kisukuma, kwamba wasipowapigia kura wagombea wa CCM watakiona.....huwa mpo wanafiki sana nyie watu, ondoeni uchafu mlio nawo kabla kuwaza kutuhusu.
 
Jitihada zianzie kwetu kwanza kuzuia ukabila na udini kwenye siasa, hasa wakati wa kampeni.

Tumejifunza kipi kwenye mfumo wao wa mahakama na tume ya uchaguzi ukirejea matokeo ya uchaguzi wao uliopita?
 
Pia wafanyakazi wa serikali wasipelekwe kwenye sehemu za makabila yao na kila eneo la kazi liwe na mchanganyiko wa makabila yote ikiwwezekana
 
Jitihada zianzie kwetu kwanza kuzuia ukabila na udini kwenye siasa, hasa wakati wa kampeni.

Tumejifunza kipi kwenye mfumo wao wa mahakama na tume ya uchaguzi ukirejea matokeo ya uchaguzi wao uliopita?

utaendele kuwa wa kujifunza mpaka matangopori utameza.

wenzako walifuta matokeo ili mtu kama wewe uridhike,sio haki itendeke.na ukaridhika kweli.
 
Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya

Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya hadhara,makanisani nk Pia wapige marufuku matumizi ya Lugha za kikabila media kama Radio,TV na Magazeti zitumike lugha za taifa tu

Ripoti yenyewe hii hapa hebu tuwashauri jirani zetu hawa kama kuna lolote la nyongeza au la kupunguza kama lipo

Tupo busy kujenga uchumi wetu ufike juu, hapa kazi tu

Wewe soma uwashauri kwa niaba yetu.
 
utaendele kuwa wa kujifunza mpaka matangopori utameza.

wenzako walifuta matokeo ili mtu kama wewe uridhike,sio haki itendeke.na ukaridhika kweli.

Waniridhishe mtu kama mimi kwa lipi?
Na sie tunamridhisha nani kiongea kikabila kwenye kampeni na kuleta dini?

Wewe kwako tafsiri ya kujifunza ni ipi na ina kikomo gani?
 
tafsiri ya kujifunza kwangu sio kuingiza kila lililo jipya,na inakoma pale akili yangu inaposoma unafiki ndani ya jambo husika.
 
Hivi si nyie Watanzania ndio tumeona clips za rais wenu akitishia watu kwa Kisukuma, kwamba wasipowapigia kura wagombea wa CCM watakiona.....huwa mpo wanafiki sana nyie watu, ondoeni uchafu mlio nawo kabla kuwaza kutuhusu.
Sasa hapo ukabila gani ameupalilia zaidi ya kutetea chama chake?, Hivi unajua maana kamili ya ukabila au unafanya makusudi kutetea ukabila wenu?
 
Back
Top Bottom