He he he! Jamani kama nanihii wake anapenda hilo pori kucheza nalo, mara kalisuka mara kalifumua mara kalichana afro ali mradi nanihii wake anafurahia hilo pori badala ya kipara...π Watu tuna choice tofauti ati!....π
Time will tell ingawa nikiyaona haya ya Tanesco, siwezi kukataa moja kwa moja hoja iliyopo hapo juuMaofisa waliozungumza na Raia Mwema kwa sharti la kutotajwa majina kutokana na sababu za kiusalama, walisema pamoja na kuwapo kwa watendaji safi waliongia katika timu mpya ya Dk. Rashidi, kulikuwa na mikakati maalumu ya wafanyabiashara na wanasiasa waliokuwa na malengo maalumu ndani ya BoT.