KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Hao wasudan wasije wakaichoma Nairobi kama wanayoichoma Khartoum yao😎Juzi tu hapo wamewapa waasi wa Sudan kuweka base yao!
Wameshafanya yao tenaBREAKING NEWS
Taarifa zilizonifikia muda huu hapa zinaonesha kwamba Sehemu ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya (JKIA) unawaka moto.
Moto unaonekana kutoka upande wa Eastern Bypass. Moto umeenea katika eneo la wazi karibu na njia ya kurukia ndege.
Vikosi vya dharura vipo eneo la tukio
Miaka kadhaa nyuma jengo la kupumzika abiria liliteketeaWameshafanya yao tena
Hiyo ndiyo Afrika
Huku kwetu waziri wa mambo hayo ya viwanja vya ndege kipindi hicho, aliulizwa na waandishi wa habari "umejifunza nini kutokana na kuungua uwanja wa JKIA" akawajibu "ukweli moto ni kiboko"Miaka kadhaa nyuma jengo la kupumzika abiria liliteketea